Cimakonde, Kamusi ya Kimakonde Kiingereza Kiswahili, Rugemalira J., 2013

Cimakonde, Kamusi ya Kimakonde–Kiingereza–Kiswahili, Rugemalira J., 2013.     

Lugha ya Kimakonde inazungumzwa na watu zaidi ya milioni moja na nusu hasa katika mikoa ya Lindi na Mtwara, kusini mwa Tanzania, na pia katika mikoa ya kaskazini mwa Msumbiji. Madhumuni ya kamusi hii ni kuwafikia wazungumzaji wa lugha hii na hivyo kutoa mchango katika kuikuza na kuihifadhi. Ni matumaini yetu kuwa mchango huu utatoa changamoto kwa Wamakonde kutaka kuiboresha kamusi hii na kuitumia kuwafunza vijana matumizi makini ya lugha yao. Pia tunatumaini kwamba wazungumzaji wa lugha nyingine nyingi za Tanzania ambazo hazina maandiko yoyote watahamasika na kuanza kazi ya kuziandika lugha hizi.

Cimakonde, Kamusi ya Kimakonde–Kiingereza–Kiswahili, Rugemalira J., 2013


Shukurani.
Shukurani za dhati ziwaendee walimu wangu sita wa lugha ya Kimakonde: Bwana Innocent Mahundi, Bibi Cresencia Sijaona, na Bibi Fatuma Mohamed Mtanda ndio walitoa maneno ya awali na tafsiri zake kwa ajili ya kamusi hii. Bwana Hamisi Amani, ndiye aliyetumia muda mrefu zaidi pamoja nami kuhakiki maana ya kila neno, na kutoa matamshi yake. Bwana Saidi Nassoro Jaffu alitoa mchango wa methali kadhaa za Kimakonde. Bwana Shaibu Afeli Mada, alisoma muswada wote na kupendekeza marekebisho kadhaa.



Бесплатно скачать электронную книгу в удобном формате, смотреть и читать:
Скачать книгу Cimakonde, Kamusi ya Kimakonde Kiingereza Kiswahili, Rugemalira J., 2013 - fileskachat.com, быстрое и бесплатное скачивание.

Скачать pdf
Ниже можно купить эту книгу по лучшей цене со скидкой с доставкой по всей России.Купить эту книгу



Скачать - pdf - Яндекс.Диск.
Дата публикации:





Теги: :: :: :: :: ::


Следующие учебники и книги:
Предыдущие статьи:


 


 

Книги, учебники, обучение по разделам




Не нашёл? Найди:





2024-11-21 10:36:13